Matokeo
SafeOregon hufuatilia takwimu za jimbo zima na kutoa ripoti za kila robo mwaka na za kila mwaka kuonyesha mwenendo na kuunga mkono juhudi za usalama shuleni. Ikiwa unahitaji ripoti za zamani ambazo hazipo mtandaoni, unaweza kuziomba kwa kutuma barua pepe kwa support@safeoregon.com.
Ripoti za Mwaka:
Ripoti za Robo Mwaka:
Mwaka wa Shule 2026-27
1 Julai - 30 Sept. 2026
Mwaka wa Shule 2025-26
1 Aprili - 30 Juni 2026
1 Jan. - 31 Machi 2026
1 Okt. - 31 Des. 2025
1 Julai - 30 Sept. 2025

